Mtanzania Digital
Mtanzania Digital
  • Видео 4 180
  • Просмотров 37 065 016
KAULI MPYA YA DC MPOGOLO KWA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO KUHUSU KUTOFUNGUA MADUKA
🛑 Sasa Tumekufikia
🛑Tutahakikisha kila siku unapata habari za ukweli na uhakika.
🛑Ahadi yetu kwenu kuwa watumishi wa kihabari kwenu
🛑 Kama una tukio la Kihabari tupigie +225 767 580 313
Просмотров: 98

Видео

SERIKALI YATOA MAEREKEZO WANAOJENGA KUTA PEMBEZONI MWA BARABARA ZA TARURA
Просмотров 3522 часа назад
🛑 Sasa Tumekufikia 🛑Tutahakikisha kila siku unapata habari za ukweli na uhakika. 🛑Ahadi yetu kwenu kuwa watumishi wa kihabari kwenu 🛑 Kama una tukio la Kihabari tupigie 225 767 580 313
YAKUFAHAMU KUHUSU SEKTA YA MADINI NCHINI
Просмотров 1722 часа назад
YAKUFAHAMU KUHUSU SEKTA YA MADINI NCHINI
SERIKALI YASITISHA ZOEZI LA UKAGUZI WA RISITI ZA EFD KARIAKOO
Просмотров 632 часа назад
SERIKALI imesitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD) na ritani za kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kupitia mkoa wa kikodi wa Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, wakati ukiandaliwa utaratibu mzuri wa utekelezaji wa suala hilo katika Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo.
RAIS WA GUINEA BISSAU KUZURU EPZ, SGR
Просмотров 657 часов назад
“Lakini eneo jingine ambalo tumezungumza ni maeneo huru ya uwekezaji ambako baada ya kumaliza shughuli naye hapa leo Mheshimiwa Rais atakwenda kuangalia maeneo yetu huru kule EPZ, lakini pia atakwenda kuangalia reli yetu ya SGR na aone mfano halisi wa jinsi miundombinu ya usafiri inavyounganisha nchi zetu kwa sababu reli yetu itakwenda mpaka Burundi, DRC na kutoka huko inaweza kwenda kwingine k...
TUTATUMIA IPASAVYO ENEO HURU LA BIASHARA AFRIKA
Просмотров 347 часов назад
“Kama mnavyofahamu Bara letu lipo mbioni kuhakikisha eneo huru la biashara Afrika linafunguka. Lengo letu kukuza zaidi kiwango cha biashara kati ya nchi za Afrika. Kuanzishwa kwa soko hilo pia litachochea ukuaji wa viwanda, uongezaji wa thamani ya mazao yetu pamoja na kuleta ajira kwa vijana wetu. "Hivyo leo tumerejea azma yetu kuhakikisha eneo huru la biashara Afrika tunalitumia ipasavyo na ku...
TUTAIMARISHA MASUALA YA UCHUMI WA BULUU
Просмотров 597 часов назад
“Eneo jingine tulilozungumza ni Uchumi wa Buluu. Nchi zetu zote mbili za Tanzania na Guinea Bissau zina eneo kubwa la mwambao au pwani. Kwamba maeneo haya na sote tupo katika nafasi nzuri ya kibiashara au kufanya biashara na nchi zinazotuzunguuka. "Sote tupo katika mwambao na tunapakana na nchi ambazo hazina mwambao na hazina bandari. Kwa hiyo tumezungumza kuhusu kushirikiana kwenye masuala ya ...
"TANZANIA NA GUINEA BISSAU KUSHIRIKIANA KATIKA ULINZI NA USALAMA
Просмотров 697 часов назад
“Sekta nyingine ni ulinzi na usalama, tumekubaliana kuendelea kushauriana na kushirikiana katika kushughulikia changamoto mbalimbali za kiusalama Barani Afrika ikiwemo tishio la ugaidi na biashara haramu ya madawa ya kulevya. "Lakini kama mlivyoshuhudia tumesaini makubaliano ya kuanza mazungumzo katika sekta ya kiuchumi, uwekezaji na biashara kama mlivyoshuhudia hapa,” Rais wa Jamhuri ya Muunga...
TANZANIA, GUINEA BISSAU KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
Просмотров 387 часов назад
“Ndugu zangu wanahabari muda mfupi uliopita mimi na mwenzangu Mheshimiwa Rais Embalo, tumetoka kufanya mazungumzo. Tumezungumza mambo mengi yenye lengo la kukuza zaidi uhusiano na ushirikiano kati ya Mataifa yetu mawili. Tulijikita zaidi kwenye nyanja za kiuchumi. "Pia tumebadilishana mawazo masuala muhimu ya Kikanda na Kimataifa ikiwemo ukuzaji wa amani na usalama Barani Afrika. Hivyo tumejadi...
SEKTA BINAFSI MSHIRIKA MKUBWA -KAPINGA
Просмотров 2814 часов назад
Imeelezwa kuwa, Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) na Washirika wengine wa Maendeleo wamekuwa msaada mkubwa katika kusaidia Ajenda ya Nishati Safi ya kupikia kuzidi kusonga mbele hapa nchini. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga wakati akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko katika Warsha ya Nishati Safi ya Kupikia iliyoanza Juni 19, 2024 jijini D...
MAKAVU LAIVU YA RAIS SAMIA KWA VYOMBO VYA HABARI VINAVYOKOSOA BILA STALA
Просмотров 6419 часов назад
MAKAVU LAIVU YA RAIS SAMIA KWA VYOMBO VYA HABARI VINAVYOKOSOA BILA STALA
KAULI NZITO YA TIDO "KUNA UBABE..." MBELE YA RAIS SAMIA, ATAJA MAMBO SITA MFUPA MGUMU
Просмотров 10719 часов назад
KAULI NZITO YA TIDO "KUNA UBABE..." MBELE YA RAIS SAMIA, ATAJA MAMBO SITA MFUPA MGUMU
HERI YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA
Просмотров 7День назад
HERI YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA
TAASISI ZA SERIKALI MIFUMO ISOMANE KUFIKIA DESEMBA
Просмотров 134День назад
“Suala la tatu ni matumizi ya mifumo ya TEHAMA hili naendelea kulisisitiza kufanyiwa kazi. Kwa upande wetu ndani ya serikali niliweka tarehe ya kukamilisha kufanya taasisi za serikali ziwe zinasomana, nayo ni Desemba mwaka huu. Kwa hiyo ni imani yangu kwamba hata kwenye taasisi za Haki Jinai mtakwenda kufuata ratiba hii kwamba ifikapo Desemba mwaka huu basi taasisi zote ziwe zinasomana,” Rais D...
WAJIBU WA KUIMARISHA HAKI ZA RAIS SI SUALA LA HIYARI
Просмотров 31День назад
WAJIBU WA KUIMARISHA HAKI ZA RAIS SI SUALA LA HIYARI
MABADILIKO NI LAZIMA-RAIS SAMIA
Просмотров 61День назад
MABADILIKO NI LAZIMA-RAIS SAMIA
RAIS SAMIA: BADO KUNA WAKUU WA MIKOA, WILAYA WANAENDELEZA UBABE
Просмотров 38День назад
RAIS SAMIA: BADO KUNA WAKUU WA MIKOA, WILAYA WANAENDELEZA UBABE
TUTAVIPA NGUVU VIKOSI KAZI
Просмотров 34День назад
TUTAVIPA NGUVU VIKOSI KAZI
TUBADILISHE FIKRA NA MITAZAMO YETU
Просмотров 17День назад
TUBADILISHE FIKRA NA MITAZAMO YETU
TUACHE HOFU NA TUBADILIKE
Просмотров 30День назад
TUACHE HOFU NA TUBADILIKE
"Uboreshaji wa gati ya mafuta hautaathiri upatikanaji wa mafuta"- MKURUGENZI WA BANDARI
Просмотров 189День назад
"Uboreshaji wa gati ya mafuta hautaathiri upatikanaji wa mafuta"- MKURUGENZI WA BANDARI
UONGEZAJI THAMANI RASLIMALI UFANYIKE NDANI YA NCHI- DK. BITEKO
Просмотров 12День назад
UONGEZAJI THAMANI RASLIMALI UFANYIKE NDANI YA NCHI- DK. BITEKO
BILA FAIDA HAKUNA GAWIO
Просмотров 4014 дней назад
BILA FAIDA HAKUNA GAWIO
WENYEVITI WA MASHIRIKA KAYASIMAMIENI KIKAMILIFU
Просмотров 1314 дней назад
WENYEVITI WA MASHIRIKA KAYASIMAMIENI KIKAMILIFU
TUMETENGENEZA SERA NZURI KWA SEKTA BINAFSI-RAIS SAMIA
Просмотров 1614 дней назад
TUMETENGENEZA SERA NZURI KWA SEKTA BINAFSI-RAIS SAMIA
RAIS SAMIA AHAMASISHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Просмотров 1914 дней назад
RAIS SAMIA AHAMASISHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
MAKAMPUNI YALITOA GAWIO KWA SERIKALI
Просмотров 1714 дней назад
MAKAMPUNI YALITOA GAWIO KWA SERIKALI
MAGEUZI LAZIMA YAENDELEE
Просмотров 4314 дней назад
MAGEUZI LAZIMA YAENDELEE
NI MSUKUMO WA SERIKALI KUIMARISHA HUDUM ZA JAMII
Просмотров 1214 дней назад
NI MSUKUMO WA SERIKALI KUIMARISHA HUDUM ZA JAMII
RAIS SAMIA ATUMA SALAM KWA MASHIRIKA YA UMMA
Просмотров 6014 дней назад
RAIS SAMIA ATUMA SALAM KWA MASHIRIKA YA UMMA

Комментарии

  • @daudiii
    @daudiii Час назад

    Thumbnail background made me think she is Spongebob's crib😂

  • @jescanakoli3329
    @jescanakoli3329 День назад

    Haki itainua taifa na kutukana hapana,upo sahihii💯💯💯💯💯💯

  • @jukiboy7012
    @jukiboy7012 День назад

    Dah mh2024😢😢

  • @ahmedalshaibany
    @ahmedalshaibany 2 дня назад

    Imepita hio

  • @JitihadiJitihadi-zf1iv
    @JitihadiJitihadi-zf1iv 2 дня назад

    Asante sana comrade Dr.mwinyi

  • @abdallahjuma3413
    @abdallahjuma3413 3 дня назад

    Mungu amjalie sana🎉

  • @AbeidZahara
    @AbeidZahara 3 дня назад

    Jamani ofisi inapatikana wapi

  • @LoveMikito
    @LoveMikito 5 дней назад

    Nand ni mzr jmn

  • @amosimbembela8504
    @amosimbembela8504 7 дней назад

    Jpm

  • @aaroneu07
    @aaroneu07 7 дней назад

    Leo 19th June 2024. We miss U Aggrey Mwanri.

  • @geraldlaurent6750
    @geraldlaurent6750 7 дней назад

    Naombeni like za aridhi ya tabora inavyofukulia mpaka inalia

  • @dr.phormenykishaija6508
    @dr.phormenykishaija6508 7 дней назад

    Da

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke 8 дней назад

    Akasema: Je, sikukwambia kuwa hutaweza kunivumilia? ” Basi wakaondoka mpaka walipofika kwa watu wa mji fulani wakatafuta chakula kwa watu wake, lakini wakakataa kuwakaribisha, na wakakuta humo ukuta unaotaka kubomolewa, basi akausimamisha. Akasema: “Kama hukuchukua ujira kwa ajili yake (77) Ni wapi wanafanya kazi baharini, na nikataka kuipoteza, na kufaulu kwao ni mfalme anayechukua kila merikebu inayovurugwa (79). na aliye mwema wamezidiwa na dhulma na upatanisho (80), basi tukataka kuwaweka badala yao Mola wao Mlezi, kheri kuliko hiyo ni zaka na mkuruhu wa rehema. baba yao alikuwa mwadilifu, kwa hivyo Mola wako Mlezi alitaka kuifikia Yel kali zaidi isipokuwa mvumilivu kwake (82) Na wanakuuliza kuhusu Dhul-Qarnayn - Sema: “Nitakusomeeni ukumbusho wake” (83) Kwa nini ewe bwana wangu mtukufu je unakimbilia kunihukumu, basi subiri Mwenyezi Mungu humpa hekima amtakaye, basi nivumilie, kama alivyosema Mola wangu Mlezi katika wahyi madhubuti wa Qur'ani Tukufu, Mwenyezi Mungu Mtukufu. Anasema: Na wabashirie wenye subira ambao ukiwasibu msiba husema: “Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye tutarejea baraka zitokazo kwa Mola wao Mlezi na rehema hao ndio walioongoka [Surat Al-Baqarah: 155-157] Basi nivumilieni wala msikimbilie kuhukumu hili, na rehema za Mwenyezi Mungu na amani zimshukie Bwana wetu Muhammad na aali zake na maswahaba zake. juu yao wote, Ee Mungu, Amina, Mola Mlezi wa walimwengu wote. ☝🏻☝🏻🤲🤲☝🏻☝🏻

  • @umikhamis4507
    @umikhamis4507 8 дней назад

    Uyo iren woya ndo kabisa akitoa wigi ndo kituko kama gigy

  • @umikhamis4507
    @umikhamis4507 8 дней назад

    Lulu akijipodoa anakua mtumzima

  • @user-vv6pr4bj8p
    @user-vv6pr4bj8p 9 дней назад

    Tanzanian failed to protect this guy.why... why...why😢😢🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿

  • @BarakaAbel-wm4jj
    @BarakaAbel-wm4jj 10 дней назад

    16 . 6. 2024

  • @MikidadiMberwa
    @MikidadiMberwa 10 дней назад

    0:34

  • @DanielleMendel-tt2ik
    @DanielleMendel-tt2ik 11 дней назад

    2024 magufulification of Tanzania

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 11 дней назад

    Mashallah mabrukii

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 12 дней назад

    Mzee wa Toronto very determined 🎉

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 12 дней назад

    Nani ameangalia zaidi ya mara moja

  • @RubenMmassy
    @RubenMmassy 12 дней назад

    Mzigo wote umeingia na nimeuona ndo wenyewe.

  • @aickatesha4542
    @aickatesha4542 13 дней назад

    Lulu joket tunda

  • @bleepjrr1419
    @bleepjrr1419 13 дней назад

    2024 naangalia hii😅

  • @user-tb3xq2cu3o
    @user-tb3xq2cu3o 14 дней назад

    How. MAnmmm

  • @user-tb3xq2cu3o
    @user-tb3xq2cu3o 14 дней назад

    Loveee but kuchangiaa

  • @user-tb3xq2cu3o
    @user-tb3xq2cu3o 14 дней назад

    Mbayaa sanaaaa

  • @user-tb3xq2cu3o
    @user-tb3xq2cu3o 14 дней назад

    Vzr sanaa Simba wachezaji wachingiee

  • @user-gj6ie7kl6g
    @user-gj6ie7kl6g 15 дней назад

    Allh akupe umri mrefu aminii

  • @user-gj6ie7kl6g
    @user-gj6ie7kl6g 15 дней назад

    ❤twayeeb

  • @ShidaKazungu-tp8ld
    @ShidaKazungu-tp8ld 15 дней назад

    Ameni pastor pastor na kufatilia sana mahubiri yako

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 16 дней назад

    Duuuuu arudi kazini janani😊

  • @AbbMotors-pc4rx
    @AbbMotors-pc4rx 16 дней назад

    Acha unafiki mtu mzima ww

  • @aminaabdulrahman5184
    @aminaabdulrahman5184 17 дней назад

    Kweli Hamisa mrembo mno

  • @aminaabdulrahman5184
    @aminaabdulrahman5184 17 дней назад

    Mmmh sema mbaya mno

  • @SuperToll-ec5mz
    @SuperToll-ec5mz 17 дней назад

    kwahyo huyu alkua anashangiliwa na yeyote sio mpk watu wapangwe

  • @KanyinyiSaid
    @KanyinyiSaid 18 дней назад

    lulu 🎉🎉

  • @KanyinyiSaid
    @KanyinyiSaid 18 дней назад

    uyo gg nic ngemjua kwakwet

  • @user-of8gi7uz4o
    @user-of8gi7uz4o 18 дней назад

    Eeeeeeeemuuuuunguuuu weeeee❤❤❤❤❤❤ kama umeinjoi gonga like

  • @user-cj4zc8dc8s
    @user-cj4zc8dc8s 19 дней назад

    Chuo kipo semu gani naitaji kusoma

  • @user-yg9fh9sj1w
    @user-yg9fh9sj1w 19 дней назад

    Magufuli pumzika jaman

  • @user-yp2hb7lk9w
    @user-yp2hb7lk9w 20 дней назад

    Wema ni mzuri t

  • @lidyamwiru3667
    @lidyamwiru3667 22 дня назад

    joket ndiy pekee mzur bila makeup

  • @FlorenceKerubo-xw6lx
    @FlorenceKerubo-xw6lx 22 дня назад

    Nandy, Lulu and Tunda my favourite without makeup 💄

  • @AmisaMbele
    @AmisaMbele 24 дня назад

    Zuchu

  • @mubarakmohammed7311
    @mubarakmohammed7311 25 дней назад

    Mnahangaika bureee!!

  • @CarrenManu
    @CarrenManu 25 дней назад

    Hata hamisa ni mzuriiii

  • @kifalumjanja2428
    @kifalumjanja2428 25 дней назад

    Nimependa sana hiyo conversation from both side.

  • @josemariafamily
    @josemariafamily 25 дней назад

    I didn't imagine such a call live to the people. This was great